Header

Paul Clement na Guardian Angel wazungumzia majibu ya Mungu

Wasanii wa muziki wa Injili, Paul Clement kutoka Tanzania na Guardian Angel kutoka Kenya wameachia kolabo ya wimbo wao kwa jina ‘Wakati Wa Mungu’.

Wimbo huo umeandikwa kwa Ushirikiano wa wasanii hao wawili na utayarishaji wake kukamilishwa na Prodyuza Vicky Pondis katika Studio za Simba Sound Production zilizoko mjini Nairobi nchini Kenya.

Video imesimulia wazo la wimbo huo linalozungumza juu ya kungoja wakati muafaka wa Majibu ya Mungu kwa waaminio na kuomba, chini ya uongozajwa wa Director Richie-G wa ATL Entertainment.

Itazame Video ya wimbo wao.

Comments

comments

You may also like ...