Header

March 2018
King Fanatic ajipanga kurusha kombora Nyumbani

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka DR Congo mwenye makazi yake nchini Uholanzi, King Fanatic ametoa sababu za kumuingiza studio na kuanda wimbo wenye wazo la kuizungumzia nchi yake utakayotoka siku za usoni. Akipiga stori na Dizzim Online kwa ... Read More »

March 23, 2018 0


Rayvanny atupia taarifa za kolabo yake na Nasty C

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na Staa wa ngoma ya ‘Makulusa’ kutoka Tanzania, Raymond Shaban Mwakyusa a.k.a Rayvanny amethibitisha kuwa ana kolabo na rapa kutoka Afrika Kusini, Nasty C kupitia video waliyoonekana wakiwa Studio za Wasafi Records. Rayvanny anayefanya ... Read More »

March 21, 2018 0