Header

New Music Video: Mauzo – Niwapake

Msanii Mauzo amewadondoshea nyundo ya maneno na vijembe kwa Mastaa baadhi wa muziki Tanzania na mastaa wengine wa tasnia ya Burudani kwa ujumla wanaoonekana kulemewa na baadhi ya mambo ambayo amesikika akiiyaimba katika uandishi ulioongozwa na mtazamo wake.

Msanii huyo anafunguka hisia zake kupitia wimbo wake mpya kwa jina ‘Niwapake’. Wimbo Umetayarishwa na Prodyuza Khrishu Vibes aliyeshirikiana na Tunchy Master kwenye Studio za Sound Garage, na video ya wimbo huo imeongozwa chini ya Mandai Films kwa mkono wa Director Matrix.

Itazame Video ya Wimbo huo.

Comments

comments

You may also like ...