Header

New Music Video: Lomodo ft. Barakah The Prince – Nafuu

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Lomodo ameachia kolabo ya wimbo aliomshirikisha Staa wa ngoma ya ‘Acha Niende’, Barakah The Prince.

Kolabo hiyo inayokwenda kwa jina ‘NAFUU’ imeandaliwa chini ya Mtayarishaji Emma The Boy na video ya wimbo huo kuongozwa na Director Hascana.

Comments

comments

You may also like ...