Header

May 2018

May 26, 2018

Tekno Miles na Mwimbaji Lola Rae wapata mtoto

Inawezekana kabisa Mtayarishaji na Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria, Augustine Miles Kelechi 'Tekno Miles' amepata mtoto na Msanii Lola Rae. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, @Teknoofficial ameweka picha iliyoonesha mkono uolihisiwa ni wake kutokana na tatoo iliyoonekana na katika ... Read More »

May 26, 2018 0
May 25, 2018

Sean Paul apata msiba wa Baba yake mzazi

Msanii wa muziki wa Reggae na Danso kutoka Jamaika, Sean Paul Francis 'Sean Paul' amempoteza Baba yake mzazi, Mzee Garth Henriques aliyefariki siku ya Alhamis baada ya kulazwa kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hospitalini kwa kusumbuliwa maradhi ... Read More »

May 25, 2018 0


May 24, 2018

DStv yaja na Ofa kabambe Kombe la Dunia 2018

Huku zikiwa zimesalia siku chache kwa kinyang’anyiro cha Kombe la Dunia  2018 kuanza nchini Urusi, Kampuni ya MultiChoice Tanzania imetangaza neema kwa Watanzania kwa kutoa ofa maalum kwa wateja wapya, huku ikitenga chaneli 6 maalum zitakazoonyesha michuano hiyo katika ... Read More »

May 24, 2018 0