Header

Ben Pol na Barnaba kuuchanganya moto wa sauti zao

Wakali wa uimbaji kutoka Tanzania na Mastaa wa muziki wa Bongo Fleva, Ben Pol na Barnaba walishakutana katika kumbukumbu ya video ambayo Ben Pol alisikia akiimba wimbo wa Staa kutoka nchini Nigeria, 2 BABA IDIBIA ‘African Queen’ huku akisindikizwa kwa micharazo ya Guitar na sauti za kujazia za Barnaba.

Kikubwa ambacho mashabiki wanahitaji kusubiria kutoka kwa wakali hawa wawili ni kolabo yao ambayo tayari imekamilika kwa mujibu wa Ben Pol na inaaminika kuwa mbali na Ben kuwa ni mwenye uwezo wa kuchana, wote wameyatumia makoo yao vilivyo kuhakikisha wimbo wao wa kushirikiana unakata kiu ya wapenzi wa muziki mzuri kutoka kwao.

Kwa taarifa ni kuwa video hii ilichukuliwa mwaka 2013 wakiwa hotelini mkoani Moshi na mchukuaji mkuu wa video hii ni muimbaji mwenzao ambaye pia ni muigizaji ‘Snura Mushi.

#DizzimNews: Wakali wa uimbaji kutoka Tanzania na Mastaa wa muziki wa Bongo Fleva, Ben Pol na Barnaba walishakutana katika kumbukumbu ya video ambayo Ben Pol alisikia akiimba wimbo wa Staa kutoka nchini Nigeria, 2 BABA IDIBIA 'African Queen' huku akisindikizwa kwa micharazo ya Guitar na sauti za kujazia za Barnaba. _ Kikubwa ambacho mashabiki wanahitaji kusubiria kutoka kwa wakali hawa wawili ni kolabo yao ambayo tayari imekamilika kwa mujibu wa Ben Pol na inaaminika kuwa mbali na Ben kuwa ni mwenye uwezo wa kuchana, wote wameyatumia makoo yao vilivyo kuhakikisha wimbo wao wa kushirikiana unakata kiu ya wapenzi wa muziki mzuri kutoka kwao. _ Kwa taarifa ni kuwa video hii ilichukuliwa mwaka 2013 wakiwa hotelini mkoani Moshi na mchukuaji mkuu wa video hii ni muimbaji mwenzao ambaye pia ni muigizaji 'Snura Mushi.

A post shared by Dizzim Online (@dizzimonline) on

Comments

comments

You may also like ...