Header

New Music Video: Babbi – Mbwira

Msanii wa muziki kutoka nchini Burundi mwenye makazi yake mjini Phoenix, jimbo la Arizona nchini Marekani, Bahati Bwingi a.k.a Babbi Music ameachia video ya wimbo wake ‘Mbwira’ ambayo utayarishaji umekamilishwa na Prodyuza Mr. T Touch kutoka nchini Tanzania.

Video ya wimbo huo imeandaliwa kwa ubunifu wa picha chini ya Muongozaji wa kampuni ya uandaaji kazi za sanaa JD FILMS jimbo la Carlifonia nchini Marekani.

Itazame video ya wimbo huo hapa chini.

Comments

comments

You may also like ...