Header

New Music Video: Marioo – Yale

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na Staa wa wimbo ‘Dar Kugumu’ Marioo, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Yale’ uliotayarishwa na wakali watatu. Wimbo umetayarishwa na Black Boi Beatz, Youngkeyz Morento na Deey Classic huku video ikiongozwa na Director Hascana.

Itazame Video ya wimbo huo mpya wa Marioo ‘Yale’.

Comments

comments

You may also like ...