Header

Sauti Sol waweka Rekodi nyingine kwa kolabo yao na Patoranking

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol wameweka rekodi nyingine nchini Kenya kwa wimbo wao ‘Melanin’ waliomshrikisha Staa kutoka nchini Nigeria ‘Patoranking’.

Patoranking

Wimbo wao huo uliowahi kuweka rekodi ya kuwa wimbo wa kwanza nchini Kenya kufikisha Stream Milioni moja kwenye mtandao wa Spotify na Apple Music na sasa umefisha idadi ya kutazamwa mara milioni 10 na zaidi kwenye mtandao wa YouTube.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram, ambapo wametumia nafasi yao kwenye post kuwashukuru mashabi wore wa muziki ulimwenguni kea hatua kubwa ya ushirikiano wanaopata kutoka kwao.

“A big thank you to everyone who has been supporting the song and the video worldwide. From Kenya to Nigeria, Tanzania to Botswana, Morocco to Zimbabwe, Burundi to South Africa, Ethiopia to Mauritius, Uganda to Zambia, Somalia to Malawi, Rwanda to Seychelles, New Zealand to Australia, UK to USA, Romania to France, Sweden to Spain, China to Canada, Italy to Germany, Jamaica to St. Lucia, Grenada to Bahamas, y’all just helped #Melanin become the first Kenyan music video to hit 10M views on Youtube. We are grateful 🖤🖤🖤🖤🖤#AfrikanSauce 🍯” Waliandika.

Comments

comments

You may also like ...