Header

SABABU TANO KWANINI WANAWAKE WANAONGEA SANA

Kwa muda mrefu wanawake wamechukuliwa kama watu wanaongea sana ,ingawa wengi wao wanapenda pia  kujitofautisha na nadharia hii ya miaka mingi.

Utafiti uliofanywa Mwaka 2013 na Chuo KIKUU CHA MARRYLAND ulibainisha  kuwa wanawake wanaongea sana kuliko wanaume .

Wanawake wanaongea wastani wa maneno 20000 kwa siku ikilinganishwa na wastani wa maneno 7000 kwa  wanaume timamu.

Zipo sababu mbalimbali zinazochangia wanawake kuongea sana zipo za kibiolojia na kibinafssi vilevile. Kibailojia utafiti ulibaini kuwa wanawake wana wingi Zaidi wa protein ijulikanyo kama vile FOXP2 ambayo huchochea kuongea Zaidi.

Dizzimonline inakuletea sababu saba kwanini wanawake wanaongea sana nah ii ni kwamujibu wa tafiti tuliyoifanya na haya yalikua majibu ya wanawake wengi tuliowauliza.

  1. Wanaume wengi ni wakali , hii inapelekea wanawake wengi kulitolea Ufafanuzi jambo Fulani kwa Kirefu ili kuepuka misiguano na wenzi wao.
  2. Kupunguza stress, wanawake wengi hawapendi kukaa na jambo ambalo linamkera moyoni na hivyo kujikuta kuongea sana juu ya jambo hilo. Na idadi kubwa tuliyowauliza juu ya hili walisema wanaongea ili kupunguza msono wa mawazo.
  3. Ndio silaha pekee waliyonayo, kuna msemo wapendao kusema kuwa “mwanaume misuli, mwanamke mdomo”
  4. Watu wanoongea sana wana mengi ya kuficha.
  5. Wanapenda umbea
  6. Sauti zao ni nzuri kusikiliza.
  7. Wanayo mengi ya kuzungumza

Comments

comments

You may also like ...