Header

‘Spotify’ wampiga chini R. Kelly

Mtandao Maarufu wa kusikiliza na kusambaza muziki Duniani wa ‘Spotify’ Umeondoa nyimbo zote za Staa wa RnB Duniani,   Robert Sylvester Kelly ‘R. Kelly’.

Sababu kuu ha hatua hiyo ya mtndando ni Sera mpya juu ya kazi zenye maudhui ya Chuki na mwenendo mbaya wa Msanii husika ambapo Kelly amekuwa ni mwenye kukumbana na tuhuma za unayanyasaji wa Kingono kwa Wanawake.

Hata hivyo pi a Staa huyo wa RnB amekuwa akivitupia lawama vyombo vya habari kuwa vinahusika katika usambazaji wa taarifa mbaya juu yake zinazochangia kumuangusha kimuziki..

Comments

comments

You may also like ...