Header

Chege Chigunda atubu na kuomba msamaha, Aongozana na Maka Voice

Msanii wa muziki kutoka Tanzania na Staa wa Bongo Fleva, Saidi Juma Hassan a.k.a Chege Chigunda amesikika akitubu na kuomba msamaha akiwa na mwimbaji Maka Voice.

Chege Chigunda

Staa huyo wa ngoma ya ‘Kaitaba’ aliyomshirikisha Mkongwe wa ngoma za asili, Saida Kalori ameachia video ya kolabo ya wimbo mpya kwa jina ‘Damu ya Ujana’ akiwa ni mwenye kushirikiana na msanii Maka Voice ambapo katika wimbo wote kwa pamoja wanasikika katika uandishi wa kuomba msamaha kwa yote yaliyoenda tofauti na mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Maka Voice

Kolabo ya wimbo huo imetayarishwa na Prodyuza Moko Genius na video kuongozwa na kampuni ya Video ya Kwetu Studio.

Itazame Video ya kolabo yao hapa

Comments

comments

You may also like ...