Header

Belle9 aleweshwa chakali na ‘DADA’, Amgusa Jay Moe

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na Staa wa Bongo Fleva, Abelnego Damian a.k.a Belle9 ameanza kulewa na ulevi unaomzonga anauambatanisha na jina la rapa mkongwe kutoka Tanzania, Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe.

Hii ni Post ya Belle9 iliyomhusisha Rapa Jay Moe.

#DADA umenilevya na #VIDEO cc @jaymoefamous

A post shared by Vitamin Music Group (@belle9tz) on

Kutoka kwa Belle9 ndani ya masaa machache, Umekuwa ni nimfululizo wa picha na maneno ya mahaba na upendo kwa kitambuulishi cha neno #DADA kupitia ukurasa wake wa Instagram na baadhi ya picha ziliambatana na maneno yanayohisiwa kuwa ni unadishi wa wimbo mpya wa Belle9 na kuhusishwa kwa Jay Moe kwa mbali kilichoanza kuwavuta baadhi ya mashabiki ni kuwa wawili hao inawezekana wameshirikiana katika ujio wa kazi mpya.

 

Post ya Belle9 iliambatana na Baadhi ya Mistari inayohisiwa kuwa ni maneni yanayoweza kuwa yanapatikana kwenye wimbo ujao.

Hata hivyo kinachobaki ni utayari wa mashabiki kungoja kingine kutoka kwa Belle9 baada ya kufanya vizuri kwa mashabiki wake wa zamani na wapya kupitia singo ya wimbo wake ‘Mfalme’ ulitoka mwanzoni mwa mwaka huu.

Comments

comments

You may also like ...