Header

Marioo wa ‘Dar Kugumu’ auona umuhimu wa Subira

Msanii wa muziki na Mkali wa nyimbo, ‘Dar Kugumu’ na ‘Yale’, ‘Marioo’ amechia video ya wimbo wake mpya kwa jina ‘Subira’, chini ya utayarishaji wa Prodyuza Kimambo.

Wimbo huo mpya umetoka chini ya kivuli cha Hanscana Brand huku video ikiongozwa kwa ushirikiano wa Director Papushka na Hanscana.

Itazame video ya wimbo huo hapa.

Comments

comments

You may also like ...