Header

Yemi Alade ajieleza anavyojisikia kwenye ujio mpya

Mwimbaji kutoka nchini Nigeria na Staa wa ngoma ya ‘Bum Bum’, Yemi Eberechi Alade a.k.a Yemi Alade ameachia wimbo wake mpya kwa jina ‘How I Feel’.

 

Kutoka kwa Yemi huu ni wimbo mpya na wa kwanza katika ladha nyingine baada ya kufanya vizuri na Album yake ya ‘Black Magic’ iliyotoka rasmi Disemba Mwaka jana.

Hii ni Cover Rasmi ya wimbo huo.

Hata hivyo wimbo huu umetoka chini ya Group ya kampuni ya muziki ya Effyzzie Music Group chini ya utayarishaji wa Prodyuza Egar Boi.

Usikilize wimbo wa Yemi Alade ‘How I Feel’  hapa.

Comments

comments

You may also like ...