Header

Tekno Miles na Mwimbaji Lola Rae wapata mtoto

Inawezekana kabisa Mtayarishaji na Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria, Augustine Miles Kelechi ‘Tekno Miles’ amepata mtoto na Msanii Lola Rae.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, @Teknoofficial ameweka picha iliyoonesha mkono uolihisiwa ni wake kutokana na tatoo iliyoonekana na katika nguo na kwenye picha ulionekana mkono wa mtoto mchanga.

Aliandika “πŸ’šβ€οΈπŸ’šβ€οΈπŸ’šβ€οΈπŸ’šSkyπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šβ€οΈπŸ’šβ€οΈβ€οΈπŸ’šβ€οΈβ€οΈ πŸ’šβ€οΈπŸ’šβ€οΈπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›”.


Muda mfupi Tekno baada ya picha ya mkono wake na mtoto, aliweka picha ya mrembo Lola Rae aaliyewahi kukiri kuwa naye katika mahusiano na ilitafsiri kuwa ndiye aliyepata mtoto na Tekno kisha alimtangaza kuwa ni mwanmke mwenye ushupavu na anampenda sana.

“You are the strongest!!! I love youπŸ’šπŸ’›β€οΈ” Aliandika Tekno.

You are the strongest!!! I love youπŸ’šπŸ’›β€οΈ

A post shared by JOGODO VIDEO OUT πŸ‘‡πŸΏ (@teknoofficial) on

Hongera sana kwa Staa huyu wa wimbo wa ‘Yur Luv’ na mrembo Lola Rae.

Comments

comments

You may also like ...