Header

Drake awadiss Kanye West na Pusha T kwa Freestyle

Rapa Mkanada na Staa wa muziki, Aubrey Drake Graham a.k.a Drake ameachia Diss Track inayomlenga rapa Pusha T na Kanye West kwa jina ‘Duppy Freestyle’ na wimbo huo umeonekana kuzungumziwa zaidi mtandaoni kwa namna alivyorusha madongo.

Drake ‘Drizzy’

Baada ya kuchafua mtandao na Diss Track hiyo, Drizzy ameachia wimbo mwingine kwa jina ‘I’m Upset’ kutoka kwenye Album yake ijayo ya ‘Scorpion’. Wimbo huu umefuata baada nyimbo zake mbili zilizofanya vizuri kwenye chati kubwa Dunian, “For What” na “God’s Plan”.

Kanye West

Drake aliweka Cover ta wimbo ‘I’m Upset’ kwenye Ukurasa wake wa Instagram na kuandika “Anyways…back to this album…new single out now!!! Link in bio 🦂🦂🦂🦂🦂🦂”.

Kwa sasa mawazo ya wengi wao hasa mashabiki wa muziki wake yanarudi kwenye ujio wa Album ya rapa Drake ‘Scopion’ inayotarajiwa kutoka kabla ya mwezi ujao.

Diss Track ya Drake kwa Kanye West na Push T.

Comments

comments

You may also like ...