Header

Mrembo Tamaryn Green avishwa taji la Miss Afrika Kusini 2018

Mrembo Tamaryn Green mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss Afrika Kusini 2018 kwenye kilele cha kumpata mshindi wa uzuri kilichofikiwa na kufanyika usiku wa jana mjini Pretoria nchini Afrika Kusini.

Mwenyeji wa kilele cha mashindano hayo alikuwa Mpenzi wa zamani wa Rapa kutoka Afrika Kuisni, AKA, Bonang Matheba. Mrembo Tamaryn Green amerithi mikoba ya ulimbwende wa mwaka 2017, Demi-Leigh Nel-Peters.

Tamaryn baada ya kuvishwa taji hilo alihiahidi kurithi mipango na mikakati ya washindi waliopita na kuliwakilisha vyema taifa lake na kufanya mambo yenye faida kwa Ustadi.

Comments

comments

You may also like ...