Header

Nyota wa Golden State Warriors akubali kuwai kutumia ‘Marijuana’

Mchezaji wa zamani wa Timu ya kikapu ya Golden State Warriors, Matt Barnes amekiambia kituo cha BBC Sports kuwa alikuwa akitumia aina ya Dawa za kulevya za Cannabis maarufu kama marijuana licha ya kuwa ni kinyume cha sheria za michezo.

Barnes alikuwa katika Kikosi kilichoshinda Ubingwa wa NBA mwaka 2017 wakati Golden State ikishinda kwenye Mfululizo wa Fainali za Nba kwa Mechi 4-1 dhidi ya Cleverland Cavaries kabla ya kutangaza kustaafu Mwaka huo huo.

 

Pia Mchezaji huyo amekiri kuwa kuna wakati alikua akishauriana kabisa na Kocha wake Steve Kerr. Now you can ask urself how this could be Possible yaani ni sawa na Mtoto amwambie Baba yake anaenda kuvuta Bangi na baba yake akubali.

Suala hili limeibua mjadala mkubwa huku Mada kuu inayodiriwa ni kuwa huenda Makocha wanajua kuwa badhi ya Wachezaji wao wanatumia Dawa na wanaficha.

Comments

comments

You may also like ...