Header

May 2018

May 7, 2018

New Music Video: Marioo – Yale

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na Staa wa wimbo 'Dar Kugumu' Marioo, ameachia video ya wimbo wake mpya 'Yale' uliotayarishwa na wakali watatu. Wimbo umetayarishwa na Black Boi Beatz, Youngkeyz Morento na Deey Classic huku video ikiongozwa na Director ... Read More »

May 07, 2018 0


May 7, 2018

New Music Video: Babbi – Mbwira

Msanii wa muziki kutoka nchini Burundi mwenye makazi yake mjini Phoenix, jimbo la Arizona nchini Marekani, Bahati Bwingi a.k.a Babbi Music ameachia video ya wimbo wake 'Mbwira' ambayo utayarishaji umekamilishwa na Prodyuza Mr. T Touch kutoka nchini Tanzania. Video ya ... Read More »

May 07, 2018 0