Header

May 2018


May 21, 2018

NEW VIDEO: FIRE YA DOGO RICHIE

Kila unapotaja wasanii wakali wamuziki ambao wamedumu kwenye muziki kwa mda mrefu nchini Kenya, basi huwezi kuliacha nyuma jina la msanii Dogo Richie. Tanzania Dogo Richie alishawahi kufanya muziki na Sam wa Ukweli awali na bado pia anafanya muziki ... Read More »

May 21, 2018 1May 18, 2018

Lady JayDee ajipanga kwa Ziara ya Afrika

Staa na mkongwe wa muziki Tanzania, Judith Wambura a.k.a Lady JayDee 'Binti Komando' ametangaza kinachoonekana kuwa ni ujio wa Ziara yake ya kikazi Afrika. Akizungumzia utayari wa kujaribu na kufanya mambo makubwa, Binti Komando huyo kupitia ukurasa wake wa instagram ... Read More »

May 18, 2018 0