Header

May 2018


May 11, 2018

SABABU TANO KWANINI WANAWAKE WANAONGEA SANA

Kwa muda mrefu wanawake wamechukuliwa kama watu wanaongea sana ,ingawa wengi wao wanapenda pia  kujitofautisha na nadharia hii ya miaka mingi. Utafiti uliofanywa Mwaka 2013 na Chuo KIKUU CHA MARRYLAND ulibainisha  kuwa wanawake wanaongea sana kuliko wanaume . Wanawake wanaongea wastani ... Read More »

May 11, 2018 0


May 11, 2018

‘Spotify’ wampiga chini R. Kelly

Mtandao Maarufu wa kusikiliza na kusambaza muziki Duniani wa 'Spotify' Umeondoa nyimbo zote za Staa wa RnB Duniani,   Robert Sylvester Kelly 'R. Kelly'. Sababu kuu ha hatua hiyo ya mtndando ni Sera mpya juu ya kazi zenye maudhui ya ... Read More »

May 11, 2018 0


May 7, 2018

New Music Video: Marioo – Yale

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na Staa wa wimbo 'Dar Kugumu' Marioo, ameachia video ya wimbo wake mpya 'Yale' uliotayarishwa na wakali watatu. Wimbo umetayarishwa na Black Boi Beatz, Youngkeyz Morento na Deey Classic huku video ikiongozwa na Director ... Read More »

May 07, 2018 0


May 7, 2018

New Music Video: Babbi – Mbwira

Msanii wa muziki kutoka nchini Burundi mwenye makazi yake mjini Phoenix, jimbo la Arizona nchini Marekani, Bahati Bwingi a.k.a Babbi Music ameachia video ya wimbo wake 'Mbwira' ambayo utayarishaji umekamilishwa na Prodyuza Mr. T Touch kutoka nchini Tanzania. Video ya ... Read More »

May 07, 2018 0