Header

Je, Ben Pol na Dully Sykes ni kolabo??

Mkongwe na Staa wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes anaonekana kuwa karibu na hitmaker wa wimbo ‘Phone’, Ben Pol na kuna uwezekano wa wawili hawa kushirikiana kikazi.

Kwenye Ukurasa wa Instagram, Ben Pol ambaye jina lake kamili ni Benard Michael Paul Mnyang’anga aliweka kipande cha video akimsikiliza Dully aliyekuwa akipiga Guitar ambapo yeye alisikika akiimba mashairi ya wimbo wa Dully ‘Hunifahamu’.

Kingine kutoka kwa Ben sambamba na hicho kilichoonekana ni kuonesha kuwa amepata msukumo zaidi wa kufanya muziki kutoka kwa Dully na alimshukuru sana na shukrani hizo Dully alizipokea.

Comments

comments

You may also like ...