Header

DStv yaanza moto wa Kombe la Dunia 2018!

DStv ambayo itaonyesha mechi zote za kombe la dunia 2018, leo imeanza shamra shamra za michuano hiyo. Siku ya leo katika ofisi za DStv kumekuwa na shamrashamra za kila aina ikiwemo ngoma, michezo mbalimbali pamoja na mashindano kwa wafanyakazi na wateja ambapo watu wamekuwa wakijijnyakulia zawadi mbalimbali zikiwemo Tshirts, kofia, mipira na kadhalika. DStv pia itarusha matangazo hayo kwa lugha ya kiswahili

Wakati huohuo DStv inaendelea na ofa yake kabambe ambapo kwa Sh 79,000 tu unapata set nzima ya DStv pampja na kifurushi cha miezi miwili bure! Pia

Waigiza sanamu wakiwa wamejipanga mbele ya ofisi za MultiChoice Tanzania ikiwa ni sehemu ya amsha amsha za michuano ya kombe la Dunia la FIFA 2018. DStv itaonyesha mechi zote za kombe hilo kutoka urusi na pia kurusha matangazo hayo kwa lugha ya Kiswahili.

 

 

 

 

 

Moja ya mabalozi wa DStv Riyama Ali (katikati) akiwa na maafisa waandamizi wa DStv katika shamrashamra za uzinduzi wa kombe la dunia katika ofisi za DStv leo

Baadhi ya wafanyakazi wa MultiChoice Tanzania wakiwa na fulana maalum za Kombe la Dunia 2018

Comments

comments

You may also like ...