Header

French Montana apata rasmi Uraia wa Marekani

Rapa na Staa wa singo kibao ikiwemo ‘Unforgettable’,  mwenye asili ya Morocco, Karim Kharbouch a.k.a French Montana amepata rasmi uraia wa Marekani na kupewa hati yake halisi ya kusafiria ‘Passport’ ya nchi hiyo.

Jumatano ya wiki iliyopita kwenye jimbo la New Jersy na inataarifiwa kuwa French alifuata hatua na taratibu za kuapa ikiwa ni hatua ya mwisho ya kupata uraia. Inaadiwa kuwa mpaka anafanikiwa ilimchukua muda mrefu baada ya kufuata taratibu tangu mwezi Februari mwaka Jana(2017).

French alizaliwa na kukulia nchini Morocco kabla ya kuhamia Marekani alipokuwa na umri wa miaka 13.

Comments

comments

You may also like ...