Header

UTOFAUTI WA Infinix HOT 6 KWA SAMSUNG J5

Hivi karibuni kampuni ya simu ya Infinix imeingiza sokoni simu mpya aina ya Infinix HOT 6 inayoonekana kufanya vizuri sokoni ukilinganisha na simu kama Samsung J5 prime na NOKIA 3.
Na baada ya kufanya utafiti nikabaini Infinix HOT 6 japokuwa imebeba sifa (specification) kuzidi simu kama Samsung j5 prime lakini bado inapatikana katika bei ya kuridhisha tofauti na samsung j5 prime ambayo bei yake ipo juu huku ikiwa imezidiwa baadhi ya sifa kama vile:
Mfumo wa Android 8.1 wenye kuzuiya uishaji wa chaji kwa haraka lakini pia inaongeza ufanisi katika simu zaidi ya mfumo wa Android 6.0.1 unaotumika na Samsung j5 prime. Na pamoja ya kuwa na Android 8.1 lakini bado inabetry ya ujazo wa 4000mAh zaidi ya Samsung j5 prime yenye betri ya ujazo 2400mAh ambayo ni ndogo haiwezi tumika zaidi ya masaa 8.

 

Infinix HOT 6 inaulizi thabiti wa face Id unaotumia sura ya mmiliki simu kunlock na fingerprint inayoweza tumika kunlock simu, kupiga picha na kupokelea simu wakati Samsung j5 prime inafingerprint inayotumika kunlock simu tu.

nfinix HOT 6 ina nchi 6.0HD+ (1440*720) ya wigo mpana wa kioo cha 18:9 chenye kusaidia kupata picha nzuri kupitia pixel 13 nyuma yenye aperture 2.0 na flashi mbili za LED nyuma pamoja na kamera ya mbele yenye pixel 5 na LED flashi wakati Samsung J5 prime ni nchi 5.0HD (1280*720) na pixel 13 na LED flashi moja nyumba mbele ikiwa na pixel 5 bila ya flashi. Hii inahashiria Infinix HOT 6 inakupa picha halisi hata katika mwanga hafifu tofauti na Samsung j5prime.

Sifa (specification) Infinix HOT 6 Samsung j5 prime
Android 8.1 Oreo 6.0.1 marshmallow
Kamera ya nyuma 13mp na LED flashi mbili 13mp na LED flashi moja
Kamera ya mbele 5mp na LED flashi 5mp
kioo 6.0 inc hes /18:9 full display 5.0 inches 16:9 normal display
Wang’avu wa kioo HD+ (1440*720) HD (1280*720)
Memory 16 GB ROM + 1 GB RAM 16 GB ROM + 2 GB RAM
Betri 4000mAh 2400mAh
security Face id / fingerprint fingerprint
speaker Dual speaker Single speaker

 

Comments

comments

You may also like ...