Header

NEW MUSIC: BEKA THE BOY X PETRA- HATUWEZI KUWA LEVEL!

 

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka +254 yani Kenya muimbaji Beka the Boy na rapper wa kike Petra kutoka Nairobi wameachia single yao mpya ya ushirikiano kwajina Hatuwezi kuwa level. Kibao hiki ambacho tayari kimeanza kuviteka bakunja chati mbalimbali ya vyombo vya habari nchini Kenya kinakuwa kibao cha tatu mfululizo kwa msanii Beka the Boy tangu ahamie jijini Nairobi ambako kwasasa ndiko anfanyia kazi zake za muziki.

 

Msanii Beka the Boy

Akiongea na gazeti la Daily Nation media group wiki iliyopita, Beka anasema yupo tayari kimuzi kuwapa mashabiki wake zaidi ya matarajio yao. Beka amekua akiangaziwa na vyombo tofauti vya habari nchini Kenya kama msanii wa mwaka anayeongoza katika tasnia ya mtindo wa muziki anina ya Afro pop. Petra kwa upande mwingine ni rapper wa kike ambaye kwakeli ameibuka kuwa na umaarufu wa hali ya juu kutokana na uwezo wake wa kutema mistari kwa lugha mbili tofauti iwemo kimombo na kiswahili kwa ufasaha zaidi. Hii ndio maana kibao hiki kipya walichoshirikiana kimewafanya kuwavutia mashabiki huku wakiwa wamejumuisha mashabaki wa pwani ambao wanamufuata Beka na wasanii wa bara ambao wanamufuata msanii Petra. Hata hivyo Beka the Boy kwasasa na nafasi ya juu zaidi kimuziki nchini Kenya haswa ikizingatiwa bidii anayoweka kwenye muziki wake niyakupitiliza. Nimekusongezea kibao hiki kipya hapa chini hebu kipe sikio, il pia mtu unaweza kupakuwa kibao hiki kupitia mtandao wa mdundo.com na pia mkito ili kufurahia utamu zaidi.

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...