Header

June 2018

DStv yaanza moto wa Kombe la Dunia 2018!

DStv ambayo itaonyesha mechi zote za kombe la dunia 2018, leo imeanza shamra shamra za michuano hiyo. Siku ya leo katika ofisi za DStv kumekuwa na shamrashamra za kila aina ikiwemo ngoma, michezo mbalimbali pamoja na mashindano kwa wafanyakazi ... Read More »

June 14, 2018 0UMUHIMU WA SPARK 2 KWA WATANZANIA.

Suala la ulinzi wa siri kwa watumiaji simu janja imekua ni tatizo hasa kwa watanzania kutokana aina nyingi za security kuzoeleka na kumfanya mtumiaji siri zake kuvuja pindi simu inapoibiwa au kuwa mikononi mwa mtu asiyemuaminifu. Na kutokana na hali ... Read More »

June 13, 2018 0


TECNO POUVOIR 2 UHAKIKA WA CHAJI NDANI YA MASAA 96.

Pamoja ya kuwa kampuni inayosifika katika uzalishaji wa simu zinazotunza chaji, kampuni ya simu ya TECNO imeendelea kudhihirisha ubora wake kwa mara nyengine tena kupitia TECNO pouvoir 2 (TECNO LA7) ikiwa ni muendelezo wa ‘TECNO L series’ yenye betri ... Read More »

June 12, 2018 0


June 12, 2018

Je, Ben Pol na Dully Sykes ni kolabo??

Mkongwe na Staa wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes anaonekana kuwa karibu na hitmaker wa wimbo 'Phone', Ben Pol na kuna uwezekano wa wawili hawa kushirikiana kikazi. Kwenye Ukurasa wa Instagram, Ben Pol ambaye jina lake kamili ni Benard Michael ... Read More »

June 12, 2018 0Infinix HOT 6: SIMU YENYE LADHA YA MZIKI.

Hivi karibuni kampuni ya simu ya Infinix ilifanikiwa kupenya katika soko la simu nchini Tanzania na kuweza kujitambulisha rasmi mwaka huu jijini Dar es Salaam. Infinix Mobility kama inavyotambulika kwa jina ndani ya muda mfupi imeweza kuwaridhisha wa Tanzania ... Read More »

June 05, 2018 0INASEMEKANA TECNO KUJA NA TECNO SPARK KIVYENGINE.

Kwa mara nyengine tena inasemekana kampuni ya simu ya TECNO ipo mbioni kuachia simu mpya ikidhaniwa kuwa ni muendelezo wa toleo la spark. Tetesi zimekua zikizaga kwa wingi zaidi hasa mitandaoni na inasemekana simu hiyo kuingia sokoni tarehe 14/6/2018. Na ... Read More »

June 01, 2018 0