Header

July 2018


July 30, 2018

News Music Video: Timbulo – Sangoma

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Timbulo ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya 'Sangoma ', Audio ya wimbo huo  imefanyika chini ya Producer Mocco Genius. Itazame Video ya wimbo huo hapa. https://www.youtube.com/watch?v=fW6ECO_lbIc

July 30, 2018 0