Header

Chuse Boy amchukua Bright wakapike Mlo Wasafi na Producer Lizer

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Chuse Boy baada ya kufanya vizuri na wimbo wake ‘Puta’, ameachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Mwimbaji Bright.

Wimbo huo mpya unakwenda kwa jina ‘Madolla’, kwa utayarishaji wa mkono wa mtengeneza single nyingi zilizo fanya vizuri kutoka Studio za Wasafi(Wasafi Records), Producer Lizer Classic.

Ikiwa ni wimbo wake mpya kuuachia rasmi kwa mwaka huu wa 2018, Video ya wimbo huo imengozwa na Director mpya kutoka Tanzania Akili Xaleh

Itazame video ya wimbo huu hapa chini

Comments

comments

You may also like ...