Header

Goodnight Collegi aweka Nyingine, Aipa jina la hit single ya Collie Buddz ‘Mamacita’

Msanii wa muziki kutoka Afrika Mashariki, Goodnight Collegi ameachia wimbo wake mpya kwa jina ‘Mamacita’. Ngoma hii mpya anamzungumzia mrembo anayempa usingizi wa huba kwa kumsifia na kumtaka amelewe kwa upendo wa dhati alionao kwake.

Ni kati ya video alizoachia ndani ya muda wa mwezi mmoja kwa kuwapa amshabiki ladha ya muziki mzuri kutoka kwake ambapo wimbo huu umetayarisha na Producer Banx katika Studio za JIKONI na Video kuongozwa na Director EZ Brown.

Itazame video ya wimbo wake huu.

Comments

comments

You may also like ...