Header

NEW MUSIC: BEKA THE BOY- VUMILIA

Msanii Beka the Boy kutoka Kenya, amemusaka mtayaridhaji wa muziki mukali nchini Kenya amabaye amehusika pakubwa kuzitengeneza, tayarisha na kuzifanya hits zote za msanii mkaazi wa nchini Kenya ila mzaliwa wa nchi ya Burudi almaarufu kama Kidumu. Mtayarishaji huyu ambaye anafahamika kwa jina Mastola pia ashawahi kuwatayarishia kazi za muziki wanamuziki wakubwa likiwemo kundimaarufu Africa la muziki kutoka Kenya Sauti Soul.

Msanii Beka the Boy

Beka ambaye amekuwa akiachilia vibao motomoto, majuma mawilitu yaliyopita aliachia kibao kwajina Level, ambacho kimejumuishwa kwenye album yake ya muziki ya mwaka huu wa 2018 na video yake iko kwenye mchakato wa matayarisho jijini Nairobi. Beka amegundua kwamba ili msanii kuwa katika hatua za juu kimuziki, basi anahitaji kuekeza nguvu zaidi katika matayarishoya muziki, na njia moja yakufunya hivyo nikujaribu kuwatafuta watayarishaji wazuri wa muziki ambao ndio huwapeleka wanamuziki wakubwa Africa Mashariki katika anga za kimataifa. Kwasasa Beka Jumanne hii ya tarehe kumi mwezi huu wa Saba ameachia kibao kikali, chenye maudhui na ladha ya kicongo huku mwenyewe akidai amefanya hivi ili kuweza kumpazawadi msanii anayemfugalia kutoka hapa Bongo King Kiba akaAlikiba. Kisikilize kibao chenyewe hapa chini.

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...