Header

Klabu za Bayern Munich, Inter Milan na Historia yao kwenye Michezo ya Fainali Kombe la Dunia

Klabu za Inter millan na Bayern Munich zimekua na kawaida ya kuwa na walau mchezaji Mmoja kutoka Klabu hizo, kuwai kucheza katika Mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia tangu Fainali ya Mwaka 1982, iliyopigwa nchini Hispania katika Uwanja wa Santiago Bernabeu.

Licha ya Klabu ya Inter Millan kushindwa kufanya vizuri Miaka ya hivi karibuni, Desturi ya kutoa wachezaji imezidi kudumu na kuendelea kutoka vizazi vya kina Karl-Heinz mpaka sasa kwa kina Ivan Perisic. huku Bayern Munich ambayo imekua ikitawala sana Ligi kuu nchini Ujerumani ikiendelea pia kutoa Mchezaji walau Mmoja katika Mchezo wa Fainali. Bila shaka unawakumbuka kina Oliver Kahn mpaka sasa kwenye kizazi cha kina Corentin Tolisso.

Ifuatayo ni Orodha ya Wachezaji hao kutoka Vilabu hivi viwili waliowai kushiriki Mchezo wa Kombe la Dunia tangu Fainali ya Mwaka 1982.

Tukianza na Klabu ya Bayern Munich:

Fainali ya Mwaka 1986 Klabu hiyo iliwakilishwa na Wachezaji Lothar Matthaus, Dieter Hoeness, Norbert Eder. Mwaka 1990 tunakumbuka baadhi ya Nyota kwenye Mchezo wa Fainali akiwemo Stefan Reuter, Lothar Matthaus huku Fainali ya Mwaka 1994 iliyofanyika nchini Marekani ikiwakilishwa na Mchezaji Jorginho ambaye alikuwa katika Timu ya Taifa ya Brazil. Mwaka 1998 Mkongwe na Mchezaji nguli sana kutoka Timu ya Taifa ya Ufaransa Bixente Lizarazu akiwa ni Mchezaji pekee kutoka Klabu hiyo.

Kuanzia Mwaka 2002 Mpaka 2014 tumeshuhudia Majina mengine ya Wachezaji kutoka Bayern akiwemo Oliver Kahn, Arjen Robben Mwaka 2010. Huku 2014 kukiwa na nyota wengi sana wakiwemo Manuel Neuer, Philipp Lahm, Jerome Boateng, Bastian Schweinsteiger. Fainali ya Mwaka 2018 Klabu hiyo itawakilishwa na Toriso ambaye anakipiga katika Timu ya taifa ya France.

 

Kwa upande wa Intermillan.

1986: Karl-Heinz Rummenigge (West Germany)

1990: Andrea Brehme, Jurgen Klinsmann, Lothar Matthaus (West Germany)

1994: Nicola Berti (Italy)

1998: Youri Djorkaeff (France), Ronaldo (Brazil)

2002: Ronaldo (Brazil)

2006: Marco Materazzi (Italy)

2010: Wesley Sneijder (Netherlands)

2014: Rodrigo Palacio (Argentina)

2018: Marcelo Brozovic, Ivan Perisic (Croatia)

So Fainali ya Mwaka huu ambayo Mabingwa wa Mwaka 1998 Timu ya Taifa ya France watacheza dhidi ya Croatia ambao wametinga fainali kwa mara ya kwanza Toliso, Ivan Perisic pamoja na Marcelo Brozovic wataendeleza Utamaduni huo. But hey who s

Comments

comments

You may also like ...