Header

Nass Bugatti Arudi nje ya nchi kukamilisha Alichofanya kwa Mr. T Touch

Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Nass Bugatti ameachia video ya wimbo wake mpya kwa jina ‘Wacha Niende’. Audio ya wimbo imetayarishwa katika Studio za Touch Sound nchini Tanzania kwa mkono wa Procuder Mr. T Touch.

Video ya wimbo imeongozwa nchini Hungary katika mji wa Budapest chini ya uongozwaji wa Director Marki wa Markanera Films Productions.

Itazame Video ya wimbo huu Mpya wa Nass Bugatti hapa chini.

Comments

comments

You may also like ...