Header

Mtangazaji Diva atangaza kutaka kuolewa na Dangote

Mtangazaji wa kituo cha Clouds Fm Diva The Boss au Diva Loveness Love ametangaza kuwa yuko tayari kuwa mke wa tajiri mkubwa Afrika kutoka Nigeria, Alhaji Aliko Dangote ‘Aliko Dangote’.

Tangazo hilo la Diva limekuja kupitia ukurasa wake wa Instagram, baada ya Baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Twitter na mitandao mingine kutuma maombi ya kutaka kuolewa na tajiri huyo.

Taarifa za hitaji la Aliko kuwa natafuta Mke zilisambaa kwa kasi mitandaoni baada ya gazeti la Uingereza la Financial Times kuripoti kwamba Dangote anatafuta mke. Ripoti hiyo ilitoka siku kadhaa zilizopita.

Comments

comments

You may also like ...