Header

New Music Video: Big Jahman ft Fid Q & Maua Sama – Umenituliza

Msanii Big Jahman chini ya Cheusi Dawa Entertainment amewashirikisha Rapa Fid Q na muimbaji Maua Sama kwenye kolabo ya wimbo wake mpya ‘Umenituliza’.

Wimbo umetoka rasmi audio na video yake kwa pamoja. Audio imendaliwa kwa Ushirkiano wa watayarishaji wawili. Mdundo umendaliwa na Producer Hallo Name na ukamilishaji mwingine uliobaki kufanyika kwa mkono wa Marco Chali kisha Video ya wimbo kuongozwa chini ya Kwetu Studi0.

Comments

comments

You may also like ...