Header

Nisha Bebe adai Kopo limepata Mfuniko kwenye wimbo wake Mpya ‘Yeye’

Inasikika kwa sauti tamu, “Kopo limepata Mfuniko”, Ni moja ya maneno yanayopatikana kwenye Wimbo mpya wa msanii wa maigizo na mwimbaji kutoka Tanzanua,Salma Jabu Nisha a.k.a Nisha Bebe.

Wimbo wake huu mpya unakwenda kwa jina ‘Yeye’ chini ya utayarishaji wa Producer Zest kutoka Studio za Moja Moja Records na Video imeongozwa naDirector Ivan chini ya Extra Films .

Mwanzo Mwanume wa kizungu aliyeonekana katika picha za pamoja na mrembo Nisha hata kuhisiwa kuwa wawili hao wako katika mahusiano ya kimapenzi jambo ambalo imeonekana kuwa mwanaume huyo alishiriki kama muigizaji mkuu katika video ya wimbo huo.

Itazame Video ya wimbo huu mpya wa Nisha Bebe.

Comments

comments

You may also like ...