Header

Brown Mauzo aachia Video ya ‘Zagada’ kwa mkono wa Director Kenny wa Zoom Production

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Fredrick Mtinda a.k.a Brown Mauzo ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya kwa jina ‘Zagada’.

Video ya wimbo ‘Zagada’ imeongozwa na Director Kenny kutoka Tanzania Chini ya Zoom Production Tanzania.
Audio ya wimbo wake huu mpya imetayarishwa na mkali kutoka Mombasa, Producer Totti.

Itazame Video ya wimbo huu mpya.

Comments

comments

You may also like ...