Header

Q Chief atangaza kuvunja ukimya kimuziki wiki hii na ‘CHUMA KISAMVU’

Msanii na Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Abubakar Shabaan Katwila a.k.a Q Chief ‘Q Chillah’ ametangaza rasmi kuvunja ukimya ndani ya wikii.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chillah ameweka kionjo cha wimbo wake mpya anaotarajia kuuachia rasmi na wimbo huo utakwenda kwa jina ‘Chuma Kisamvu’.

Tangazo hili rasmi la Chillah limekuja sambamba na taarifa kuwa mashabiki wakae tayari kupokea wimbo wake mpya baada ya siku tano kuazia sasa. wimbo umetayarishwa na Producer Fraga na video imeongozwa na Kwetu Studios.

Comments

comments

You may also like ...