Header

Gracious Amani ‘Amani G’ aliyemkuna Alicia Keys aingia location na Director Young Wallace

Msichana kutoka Githurai nchini Kenya, Gracious Amani ‘Amani G’ aliyemkuna Staa wa muziki kutoka Marekani, Alicia Keys kwa uwezo wake wa kuimba wimbo wa ‘ Girl On Fire’, ameingia Location na Director wa video za muziki wa nchini humo, Young Wallace.

Msichana huyo anayesoma Darasa la Nane katika shule ya msingi Githurai nchini humo, tayari alishatangazwa kuwa atatumia jina la sanaa kama ‘Amani G’ na kwa sasa anafanya kazi zake za muziki chini ya lebo ya muziki ya Pine Greek Records  iliyoko Nairobi nchini humo inayomilikiwa na Peter Nduati.

Comments

comments

You may also like ...