Header

Hamisa Mobetto na Irene Uwoya wawaomba Radhi Mashabiki wao

Baada ya Kamati ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) kuwataka Mwanamitindo Hamisa Mobeto na Muigizaji Irene Uwoya waombe radhi kwa makosa ya kuweka Picha zisizo na maadili mtandaoni, mastaa hao wamefanya hivyo kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Post ya Hamisa Mobetto kwenye Ukurasa wake wa Instagram.

NAOMBA RADHI KWA UMMA: Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu. Mimi Hamisa Mobetto Ambaye ni Mfanya Biashara Wa Mitindo (Fashion Entrepreneur) Apa Nchini Tanzania Na Pia Ni Raia Wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Naomba Kutumia Fursa Hii Kuomba Radhi Kwa Watanzania na Wengine Wote Ambao Ni Watumiaji Wa Mitandao . Kuhusiana Na Kitendo Cha Mimi Na Washabiki Zangu (Fans) Wangu Kutuma Picha Zangu Zinazoonyesha Nusu Utupu Kwenye Page Zao Za Instagram. . Pia Natumia Fursa Hii Kuwashukuru Kamati Ya Maudhui Kwa Jinsi Walivyonita Kwenye Kamati Yao Na Kunipa Nafasi Ya Kujitetea Na Mwisho Kufanya Uamuzi Wenye Haki Kwangu Na Kwa Wapenzi (fans) Wangu Wote . Ninawashukuru Sana.๐Ÿ™๐Ÿพ . Mwisho Kabisa Niwahusie Vijana Wenzangu Kuepuka Kutumia Mitandao Ya Kijamii vibaya Kwani Kwa Sasa Kuna Sheria Kali Zinazokataza Picha Mbaya kutumwa Kwenye Mitandao .Naomba Pia Wapenzi (fans)Wangu Kuanzia Sasa Kutuma Picha Zangu Zenye Staha Au Kutumia Biashara Zangu Kunisapoti. . Nawashakuru Sana Na Mbarikiwe Sana.โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿพ

A post shared by HamisaMobetto (@hamisamobetto) on

Post ya Irene Uwoya kwenye Ukurasa wake wa Instagram.

Comments

comments

You may also like ...