Header

Madini Classic amuwinda Mwimbaji Vivian na kufanikiwa baada ya Miaka minne

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Madini Classic ameweka wazi kufanikiwa kwa ndoto yake ya muda mrefu kwa Mrembo, Mwimbaji na Staa wa wimbo ‘Chum Chum’, Vivian kutoka nchini humo.

Mwimbaji Vivian

Akizungumza katika moja ya kituo kikubwa cha matangazo nchini humo, Madini amesema kuwa katika  safari ya muziki wake alimfahamu Vivian kupitia kolabo ya wimbo alioshirikiana na Jaguar ‘My Dream’ miaka minne iliyopita kabla yake kurekodi wimbo ambapo kwa sasa ameshirikiana naye wimbo wao mpya kwa jina ‘Nilivyo’.

Madini Classic

 

Utazame video ya wimbo wao kwa jina ‘Nilivyo’.

 

Comments

comments

You may also like ...