Header

Ni miaka minne Tangu Juliana Kanyomozi alione giza la Mshumaa wa Mwanae

Ni uchungu wa Mama kwa Mtoto kwakuwa Mwezi huu wa Julai ni kumbukumbu ya Miaka minne kwa Mwimbaji kutoka nchini Uganda, Juliana Kanyomozi kumpoteza mtoto wake wa kiume, Keron Kabugo.

 

Keron Kabugo alifariki 20 Julai, 2014 mjini Nairobi nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 11.

Comments

comments

You may also like ...