Header

Paul Okoye wa P Square athibitisha Ziara yake ya Kanada na Marekani

Mwanakikundi wa zamani wa P Square, Paul Okoye ametangaza ziara yake ya muziki ya nchini Kanada na Marekani itakayoanzatarehe Mosi, Septemba mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Paul Okoye aliweka taarifa rasmi ya kuwa ziara hiyo itaanzia katika mji wa Chicago ulioko katika jimbo la Illinois, Marekani.

 

Comments

comments

You may also like ...