Header

Rayvanny aachia video rasmi ya wimbo wake ‘CHOMBO’

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Rayvanny ameachia Rasmi Video ya wimbo wake mpya ‘Chombo’ iliyoongozwa na Director Eris Mzava kutoka Xtra Focus Production Tanzania.

Kwa mujibu wa Rayvanny,Video ya wimbo huu aliitaja kuwa ni video yake ya kwanza kuwa na watu wengi zaidi tofauti na video zake nyingine. Moja ya Scenes zilizohtaji watu wengi zaidi katika vipande vya watu walioonekana kuicheza kwa ustadi Style ya uchezaji Maarufu ya ‘Shaku Shaku ‘ ilionogesha zaidi Video wa wimbo huo.

Itazame Video ya wimbo huu.

Comments

comments

You may also like ...