Header

Lava Lava akimbia ‘Gundu’ akiwa ndani ya Vazi Jeupe

Msanii wa mzuki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Lava Lava ameonekana katika video mpya ya wimbo wake huo kwa jina ‘Gundu’ chini ya Uongozaji wa Director Kenny.

Moja ya scenes zinazohisiwa kuwapendeza wengi ni pale anapoonekana Lava Lava akionekana akikimbia huku akiimba wimbo huo akiwa katika suti nyeupe.

Itazame Video ya wimbo hiyo ya ‘Gundu’.

Comments

comments

You may also like ...