Header

Khaligraph Jones awachana walioponda Show aliyopanda jukwaani na Jeneza

Rapa kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones amewachana walioponda namna alivyopanda jukwaani na Jenenza kwenye Perfomance yake ya Mwaka jana nchini Kenya.

Khaligraph mwaka jana aliwashangaza wengi mara baada ya kuletwa na watu waliokuwa katika mavazi meusi wakiwa wamembeba akiwa ndani ya jeneza na kutoka ndani akiwa na kipaza kutoka Burudani ya wimbo wake wa Mazishi.

Khaligraph Jones katika kolabo ya wimbo aliyoshirikishwa na rapa kutoka Tanzania, Country Boy kwa jina ‘Wanaona Haya’ ambao Chorus yake kaimba S2Kizzy anasikika katika uandishi akichana kwa maneno

“…Some they think that am Evil, Juzi nikatumia jeneza kwa Show/ Wakadai hiyo move ni illegal…” na kumalizia na maneno ya kuwa atazidi kuwakilisha kwa kile kinachoonekana kukubaliwa na mashabiki wa muziki wake.

And The Deadman Shall Rise again.. #respectheogs💯💯💯

A post shared by Khaligraph jones (@khaligraph_jones) on

Comments

comments

You may also like ...