Header

Demi Lovato awagusa Mastaa wakubwa kutokana na kuzidiwa na Madawa

Mwimbaji na Muigizaji kutoka Marekani, Demi Lovato ameripotiwa kuzidiwa ghafla akiwa nyumbani kwake Hollywood Hills ambapo alipata msaada wa dharura wa kuwahiswa hospitalini mjini Los Ageles kwa matibabu.

Imedaiwa kuwa kilichopelekea Demi kupoteza fahamu ni kuzidisha kiasi cha dawa za kulevya ambapo kwa sasa anajitambua na anaendelea vizuri na matibabu. Itakumbukwa kuwa Staa huyo amekuwa katika hatua ya muda mrefu y a kupambana na uathirika wa dawa za kulevya kwa muda mrefu sasa.

Mastaa kibao Duniani wameonesha kuguswa na tukio hilo la kuzidiwa kwa Demi na walionesha hisia zao za upendo kwa Demi.

Hizi ni tweet kadhaa za baadhi ya Mastaa.

Tweet ya Rapa Cardi B.

Tweet ya Mtangazaji maarufu Marekani Ellen DeGeneres.

Tweet ya mwimbaji Ariana Grande.

Comments

comments

You may also like ...