Header

Utata waibuka kati ya Penzi la Otile Brown na Vera Sidika

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Otile Brown amehisiwa kuingia katika utata wa hali ya kutoelewana kimahusihano na Mpenzi wake, Vera Sidika.

Kwa mujibu wa kinachoonekana kwenye kurasa zao za mtandao wa Instagram, wawili hao wanaonekana kuondoa kila picha ya mwenzake na kila picha walizopiga pamoja.

Hata hivyo mbali na kuhisiwa kuwa kuna hali hiyo, Sio Otile Brown wala Vera Sidika aliyejitokeza kusema chochote juu ya hicho kinachoonekana kwenye akaunti zao.

Comments

comments

You may also like ...