Header

LeBron James kuokoa Vipaji vya watoto wasiojiweza Jimboni kwake

Nyota wa mpira wa kikapu LeBron James akishirikiana na taasisi yake ya LeBron James Family Foundation, Jumapili hii kwa kushirikiana na Shule za Umma, ametimiza ahadi yake ya kuanzisha shule ya msingi yenye dhumuni la kuwasaidia watoto waishio katika mazingira hatarishi na wenye vipaji maalum.

Shule hiyo inayotazamiwa kurejesha matumaini na kutumiza ndoto za watoto kielimu pia kupunguzia jukumu la kusomesha kwa familia zisizojiweka, inakwenda kwa jina ‘I Promise School’ na imejengwa katika jimbo la Ohio sehemu ambayo Lebron amezaliwa.

Comments

comments

You may also like ...